TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Thursday, November 6, 2008

OBAMA! OBAMA! OBAMA! OBAMA! OBAMA!


Rais mteule wa Marekani Bwana Barack Obama akifurahia ushindi wa kiti cha Urais wa nchi hiyo na Familia yake mara baada ya kutangazwa mshindi,Kutoka kushoto ni binti yake mdogo Sasha,Malia na mkewe Michelle Obama.

No comments: