wajumbe wakiwa Dodoma wakihudhuria kongamano la Azaki kutoka Tanzania Kisiwani na Tanzania bara
Majina yaliyo teuliwa kupelekwa kwa Rais yalikuwa matatu yaliyo pata kura za juu nayo nihayo yafuatayo 1.John Ulanga aliye pata kura 114, Pr Ruth Mena aliye pata kura 97 na Humprey Polepole aliye pata kura 90
Wajumbe mbali mbali wakipiga kura ili kuchagua majina matatu ta takayo pelekwa kwa Mheshimiwa Rais majina yaliyo teuliwa ni kama yanavyo onekana hapo juu
Mwenyekiti kamati ya kuhesabu kura za majina ambayo yata pelekwa kwa mheshimiwa Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete ili aya teue kujiunga na kamati ya kuratibu maoni ili kupata katiba mpya hapo Keny Ngomuo ana onekana akitoa majina yaliyo chaguliwa na wajumbe Dodoma
Mjumbe kutoka Tamwa Flola Nzema akitoa maelezo kwa mjumbe wa bodi ya UTPC Juma nyumayo pia akibalilishana mawazo kujadili mada itakayo wakilishwa katika kongamano la Azaki za Tanzania Bara kuhusu swala la Habari
No comments:
Post a Comment