TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Thursday, March 1, 2012

MSONDO NGOMA YAIBOMOA SIKINDE

Kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma, Said Mabela (kulia) akimkabidhi saxaphone msanii mpya wa bendi hiyo Shabani Lendi leo jijini Dar es Salaam, baada ya kuingia mkataba wa miaka miwili akitokea bendi ya Sikinde katikati ni Meneja wa bendi hiyo Said Kibiliti.

Shabani Lendi (kushoto) akipuliza saxaphone mara baada ya kukabidhiwa na kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma, Said Mabela leo.

No comments: