Sikuzani Kibwana akiwa amelazwa nje kupata ubaridi.
Mwanafunzi mwenzake akimsubiri azinduke.
Mandhari ilivyo nje ya chumba cha Intanet.
MWANAFUNZI aliyekuwa kidato cha nne Shule ya Sekondari Morogoro inayomilikiwa na serikali, Sikuzani Kibwana, leo ameanguka ghafla na kupoteza fahamu katika chumba…
1 comment:
Dah..hakutarajia,, alichokiona huyo..
Post a Comment