Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey Lebejo akisisitiza jambo kwenye programu ya Jukwaa la Sanaa inayofanyika kila wiki makao makuu ya Baraza hilo Ilala Sharif Shamba na kuhudhuriwa na wadau wa Sanaa. Kulia kwake ni Afisa Uhusiano wa Uhamiaji Bi. Tatu Burhan.
Asp Edson Kasekwa kutoka Jeshi la Polisi Makao Makuu, Kitengo maalum cha Operesheni uzuiaji uhalifu akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali kuhusu matumizi ya Sanaa katika Polisi Jamii na Ulinzi Shirikishi. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Ukuzaji Sanaa, BASATA Bi.Vivian Shalua.…
No comments:
Post a Comment