TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Friday, December 2, 2011

WAKATI CHADEMA IKIVUNJA NDOA NA SERIKALI CUF YAZIDI KUIIMARISHA. YAKUTANA NA JK IKULU

"Viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiwasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo."


"Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na kiongozi wa ujumbe wa CUF ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Mh Machano Khamis Ally"













"Mazungumzo kuhusu Mchakato wa Katiba kati ya Ujumbe wa chama cha CUF na Rais Jakaya Kikwete"


"Ujumbe wa CUF ukiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Kikwete"


No comments: