Mzee wa Hekima za Badi akirudisha baadhi ya vitu vyake kwa wazazi wake ambao wanaishi Kigogo Luhanga
Huduma za afya nazo zilikwama, hapa inaonekana hospitali ya Mafaransa ikiwa katika hali mbaya mara baada ya kuzingirwa na maji
Mafuriko hayakuathiri makazi tu bali hata sehemu ya wajasiria mali wanawake nao waliathirika kama inavyoonekana hapa Wahudumu wa Saloon ya Msambaa wakitoa maji ndani
Mzee wa Hekima nae alikua ni mmoja wa wahanga wa mafuriko huko Kigogo hapa akiwa anaelekea sehemu ya usalama zaidi mara baada ya kunusurika na mafuriko
No comments:
Post a Comment