Bw. Mussa Shabani (pichani) ambaye alipigwa shoka kichwani akiwa nyumbani kwa Bw. Joseph Mwakyusa huko Tabata jijini Dar es salaaam na majambazi amefariki dunia akiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam. Bw. Mussa alikutwa na tukio hilo akiwa katika kazi yake ya ulinzi nyumbani kwa Joseph Mwakyusa hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment