TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE
Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Thursday, November 10, 2011
MBOWE NAYE KORTINI
Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mhe. Freeman Mbowe, naye amepandishwa kizimabani leo mjini Arusha na kuunganishwa katika kesi inayowakabili wenzake 27, wanaokabiliwa na mashitaka kadhaa, yakiwemo ya kufanya mkutano na maandamano isivyo hahali. Mbowe, ambaye jana alijisalimisha mwenyewe kituoni baada ya kudaiwa kukimbia, amekuwa mshitakiwa wa 28 na yuko nje kwa dhamana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment