TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE

Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com

Tuesday, September 13, 2011

UZINDUZI WA TAMASHA LA KUMI LA JINSIA WAFANA, WANAHARAKATI WAPAZA SAUTI ZAO


Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Ussu Malya akisoma risala ya kumkaribisha katika sherehe za Uzinduzi wa Tamasha la kumi la Jinsia leo katika Viwanja TGNP mabibo Dar - es - Salaam.


Mgeni rasmi wa Tamasha la Jinsia Prof.Dzodzi Tsikata akisoma hotuba ya Uzinduzi wa Tamasha hilo leo katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Mabibo Dar - es - salaam.Tamasha hilo litaendelea hadi tarehe 16/9/2011.


Mkurugenzi wa TAMWA Dada Ananilea Nkya akitoa neno la Shukrani kwa Mgeni rasmi mara baada ya hotuba ya ufunguzi rasmi kutolewa.





Washiriki kutoka sehemu mbali mbali duniani wakifatilia sherehe za Uzinduzi wa Tamasha la Jinsia la 2011 licha ya Mvua Mkubwa iliokuwa ikinyesha.Tamasha hili limezinduliwa na Mgeni rasmi Prof.Dzodzi Tsikata kutoka nchini Ghana.


Msanii Vitalisi Maembe na Maembe Band wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Jinsia la mwaka 2011 katika Viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania Mabibo Dar - es - Salaam



Kikundi cha sanaa cha GDSS kikitumbuiza wakati wa Uzinduzi rasmi wa Tamasha la Kumi la Jinsia 2011 katika Viwanja TGNP mabibo Dar - es - Salaam.

No comments: