JE ELIMU NI SUALA LA HAKI AU NI UPENDELEO?
Mwezeshaji kaka Boniventura Godfrey kutoka Haki Elimu akiwezesha mada hiyo ya Bajeti ya sekta ya elimu ya mwaka 2011/12 katika semina ya Jinsia na Maendeleo (GDSS)leo hii katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo Dar - es - salaam.Semina Hizi zinafanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa tisa Alasiri hadi saa 11 kamili jioni.
Sehemu ya washiriki wa semina hiyo ya Jinsia na Maendeleo wkifatilia mjadala katika Semina hiyo ya GDSS.
Dada Anna Sangay Kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania akitoa maoni yake kuhusu Bajeti ya Sekta ya Elimu ya Mwaka 2011/12 katika Viwanja Vya Mtandao wa Jinsia Tanzania.
Baadhi ya wananchiwa mkoa wa Dar - es - salaam wakitoa maoni yake kuhusu bajeti ya sekta ya Elimu katika semina hiyo ya GDSS leo jioni TGNP Mabibo Dar - es - salaam.
Dada Dorothy Mbilinyi akichangia maoni yake kuhusu Bajeti ya Sekta ya Elimu ya Mwaka 2011/12 katika semina ya jinsia na Maendeleo (GDSS)leo hii katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Mabibo Dar - es - salaam.Mjad
No comments:
Post a Comment