TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE
Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Friday, August 12, 2011
HALI HALISI YA TATIZO LA MAJI KATIKA WILAYA YA NYANG'HWALE
MBUNGE WA JIMBO LA NYANG'HWALE AKIWATUBIA WANANCHI WA JIMBO LAKE KATIKA MOJA YA MIKUTANO YAKE.MKUTANO HUU ULIFANYIKA KATIKA KIJIJI CHA KHARUMWA
MWANAMKE HUYU AKISUBIRIA MAJI KATIKA KIJIJI CHA BUKWIMBA WILAYANI NYANG'HWALE
Wanafunzi wengi wanapoteza muda mwingi katika kutafuta maji kama inavyoonekana hapa.Je hali hii itaisha lini??
MAJI HAYA YANAYOMAGIKA YANATOKA ZIWA VICTORIA NA YANAELEKEA KATIKA MOJA YA MIGODI YA BARICK UNAITWA KAKORA MINING LAKINI VIJIJI YANAPOPITIA MAJI HAYA YANASHIDA KUBWA YA MAJI.
MAMA HUYU ANAONEKANA AKIKWANGUA MAJI KATIKA MOJA YA VISIMA VYA ASILI WILAYANI GEITA
Bi Grace Msalika akiwa amechoka wakati akisubiria maji katika moja visima vya asili vinavyopatikana katika Kijiji cha Izunya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment