Lori aina ya Scania kama Linavyoonekana katika picha leo hii mara baada ya kugongana na Canter ndogo uso kwa uso.Watu wote 8 waliohusika katika ajali hiyo wamefariki dunia
Mabaki ya Gari aina ya Canter kama inavyoonekana mara baada ya kugongana Uso kwa uso na Lori aina ya Scania
No comments:
Post a Comment