TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA NA UONE FAIDA YAKE
Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Sunday, July 10, 2011
SIMBA FUNGA HAO YANGA
WACHEZAJI WA TIMU YA SIMBA WAKISHANGILIA MOJA YA MAKOMBE WALIOWAHI KUCHUKUA HUKO NYUMA.JE LEO HALI HII ITAJIRUDIA TENA KATIKA MCHEZO WA FAINALI MBELE ZA WATANI ZAO YANGA???
KOCHA WA TIMU YA SIMBA MGANDA MOSES BASENA AKITOA MAELEKEZO KWA MOHAMMEDY BANKA KATIKA MOJA YA MECHI AMBAZO SIMBA ILICHEZA KWENYE MASHINDANO YA KOMBE LA KAGAME HUKU AMIRY MAFTAHA KUSHOTO NA KELVIN YONDAN ANEKUNYWA MAJI WAKIFATILIA KWA KARIBU MAELEKEZO YA KOCHA WAO. JE LEOA ATWEZA KUFURUKUTA MBELE YA MGANDA MWENZIE SAM TIMBE WA TIMU YA yanga??
KIKOSI CHA TIMU YA SIMBA AMBACHO LEO KINA JUKUMU MOJA TU LA KUWAFUNGA YANGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment