Kwa Habari au Tangazo lolote la Biashara tuwasiliane kwa Simu 0713 - 581741 au 0755 - 863097.Email: robadio8@gmail.com
Sunday, June 19, 2011
simba ua hao Motema Pembe kama mlivofanya Dar
Wachezaji wa simba katika matukio tofauti mjini Kinshasa kabla ya mchezo wao na DC Motema Pembe Blog ya kiharakati inawatakia kila la kheri timu ya Simba leo mjini Kinshasa iweze kuitoa katika mashindano ya kombela Shirikisho timu ya DC Motema Pembe
No comments:
Post a Comment